Tuesday, March 24, 2015
MCHEZAJI WA NIGERIA ALIVYOVUA JEZI, AKALAZMISHA KUTOKA BAADA YA KUBAGULIWA NA MASHABIKI WAKE UTURUKI
10:01 AM
| Posted by
Unknown
|
Mshambuliaji wa Emmanuel Emenike wa Fenerbahce amekuta akishindwa kujizuia na kulazimisha afanyiwe mabadiliko na kutolewa nje hata kabla ya kipindi cha pili.Katika mechi hiyo ya Ligi kuu ya Uturuki dhidi ya wapinzani wao Besiktas, Emenike raia wa Nigeria alilazimisha kutoka na kuvua jezi wakati mashabiki walipoanza kumshambulia kwa maneno makali yakiwemo ya kibaguzi.
Mashabiki hao walikuwa wakimzoea baada ya kushindwa kutuliza mpira mrefu aliopigiwa.
Hali hiyo ilionyesha kumuudhi ingawa mashabiki hao pia walilalama kwamba msimu huu amekuwa hana msaada kwa timu yao.
Pamoja na kufanikiwa kutoka, Emenike alirudishwa na benchi la ufundi akiwemo kocha wa timu hiyo ambaye hata hivyo baadaye alilazimika kumtoa baada ya kipindi cha kwanza kwisha.
Ubaguzi wa rangi umekuwa ukiendelea katika nchi mbalimbali ikiwemo Uturuki ambayo ndiyo nchini pekee duniani iliyo katika mabara mawili ya Asia na Ulaya.
Asilimia kubwa ya Waturuki ni wale wenye asili ya Waarabu, lakini ajabu nao wamekuwa na tabia hizo mbovu za kishenzi za ubaguzi wa rangi.
Subscribe to:
Post Comments
(Atom)
TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook
Popular Posts
My Blog List
-
Habari : Bodi ya Ithibati Yawafungia Watangazaji wa Mjini Fm kwa Ukiukaji wa Maadili ya Habari - Ukiukwaji wa Sheria na Maadili ya taaluma ya Habari uliofanywa na watangazaji wa kituo cha redio cha Mjini Fm. Wazalendo 25 Blog , is a Social Media ...6 minutes ago
-
TUME YA TOA KIBALI KWA ASASI 256 KUFANYA KAZI WAKATI WA UCHAGUZI MKUU 2025 - Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa vibali vya kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa taasisi na asasi ...45 minutes ago
-
TUME YA TOA KIBALI KWA ASASI 256 KUFANYA KAZI WAKATI WA UCHAGUZI MKUU 2025 - *Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa vibali vya kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa taasisi na asasi za ...46 minutes ago
-
NBS WAJADILI KUBORESHA TAKWIMU NCHIN - Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imekutana kujadili utekelezaji pamoja na kupitisha Mpango Kazi wa Awamu ya Pili ya Mradi Kabambe wa Kuboresha Takwimu nc...57 minutes ago
-
Why are Japanese Cars so popular in the Arab World - Japanese cars have firmly established their presence in Arab markets, becoming a symbol of quality and reliability. The continued demand for these vehicl...2 days ago
-
DKT. KIKWETE: NCHI ZA AFRIKA ZINAHITAJI KUWEKEZA ZAIDI KATIKA TAFITI NA KILIMO - Na.Vero Ignatus ARUSHA Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Umasikini umefanyika Jijini Arusha kwa lengo la Kuwaunganisha wataalamu wa utafiti na watunga se...5 weeks ago
-
สมัคร wing888 VIP เว็บตรงคุณภาพสูง และบริการคุณภาพ - Wing888 vip เป็นหนึ่งในชื่อที่น่าสนใจโดยเฉพาะสำหรับผู้ที่ให้ความสำคัญกับความปลอดภัย เสถียรภาพ และระบบการให้บริการที่จริงจัง ความเป็นส่วนตัวและความซื่อสัตย...1 month ago
-
BENKI YA STANBIC YAFIKIA TAMATI KAMPENI YA TAP KIBINGWA KWA SHANGWE - • TZS milioni 7.5 zimetolewa kama zawadi kwa wateja 15 waliotumia Visa Debit Card zao kwa miezi mitatu • Washindi wengine watano wajishindia TZS 500...2 months ago
-
KIWANJA CHA NDEGE SUMBAWANGA CHAFIKIA ASILIMIA SITINI YA UJENZI. - Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga umefikia asilimia sitini ya utekelezaji wake. Taarifa hiyo imetolewa mbele waandishi wa habari leo Machi 26, 20...3 months ago
-
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com4 months ago
-
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...4 months ago
-
ZANZIBAR: UBALOZI WA NORWAY TANZANIA WAIPONGEZA TAMWA-ZNZ UTEKELEZAJI MRADI WA SWIL. - *Maafisa Ubalozi wa Norway wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa TAMWA-ZNZ mara baada ya kumaliza mazungumzo katika ofisi zilizopo Tu...3 years ago
-
AUDIO | Harmonize - Kushoto Kulia | Download - *DOWNLOAD* Listen to Harmonize - Kushoto Kulia byDJ Mwanga on hearthis.at5 years ago
-
-
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...6 years ago
-
MSANII ROSE MUHANDO: SIOGOPI WANAONISEMA VIBAYA - Rose Muhando. STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha ku...8 years ago
-
VIDEO: SNURA AONGELEA KUFANYA KAZI NA DON JAZZY..! - Kila mtu alilipokea kwa style yake hili suala la mtayarishaji na msanii mkubwa wa muziki barani Afrika *Don Jazzy *kujirecord video akiimba wimbo wa Chura ...8 years ago
-
PIKIPIKI YAZUA HOFU BAADA YA KUTELEKEZWA MWAKA MZIMA JIJINI DAR ES SALAAM, UKIIKARIBIA, IKIIGUSA INAJIWASHA POLISI WAGWAYA KUIPELEKA KITUONI - Mwananchi akipita kwa kuikwepa pikipiki yenye namba za usajili T 684 CJZ aina ya Fokon iliyotelekezwa kwa zaidi ya mwaka mmoja katika Kituo cha waendesha...8 years ago
-
-
MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUPITIA CHADEMA KATIKA JIMBO LA HAI, MKOANI KILIMANJARO - *Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokelewa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai ...9 years ago
-
Bunge Lamkingia Kifua Zitto Kabwe......Lasema Bado ni Mbunge Halali na Spika wa Bunge ana Mamlaka Kisheria Ya Kutengua Maamuzi ya CHADEMA - Ofisi ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema). Kauli ya hiyo ya Bunge im...10 years ago
-
MAPACHA 6 WALIOZALIWA MWAKA 1983 NCHINI UINGEREZA SASA NI WAKUBWA NA WAMENZA KUWA NA FAMILIA ZAO - * Bwana Na Bibi Grahan Walton wakiwa na mabinti wao sita pamoja na mjukuu wao* * Mapacha hao wa kike wakati wana miaka mitano (Kushoto kwenda kilia) Luci...10 years ago
-
New Song WAKAZI-BIGGIE - Download Here - *Wimbo mpya kutoka kwa Wakazi - Biggie* www.aloyson.com10 years ago
-
-
-
-
-
-
-
-
0 comments:
Post a Comment