Sunday, March 15, 2015


 
Bethany akiwa na mme wake kwenye fukwe za bahari
Bethany Hamilton ambaye alipoteza mkono wake kwa shambulio la papa mapema wiki hii alimuonyesha mwanae umahiri wa kuogelea kwenye mawimbi ya bahari katika pwani ya Hawaii nchini Marekani.


 
Mwanamke huyo jasiri licha ya kupoteza mkono kwa shambulio la papa bado anapenda kuogelea.
Bethany wakati anapoteza mkono wake alikuwa na umri wa miaka 13, alipoteza mkono wake baada ya kuuweka juu ya papa mkubwa huku akiwa nje ya mtumbwi.


 
Huyu ndiye papa aliyemshambulia
Bethany alisema papa huyo alikuwa na urefu wa futi 15 na baada ya kumshambulia watu wenye hasira walimuua na kumtoa nje ya fukwe

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook

Popular Posts

My Blog List

Total Pageviews

Tweets

NETWORKED BLOGS

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
widgets