Monday, August 11, 2014

 
Kiugo wa zamani wa kimataifa wa England, Paul Scholes akimtoka gwiji wa Bayern Munich wakati magwiji wa Manchester United walipomenyana nap katika mechi maalum ya hisani Uwanja wa Allianz Arena jana, wakongwe hao wakitoka sare ya 3-3.


Wameungana tena: Dwight Yorke akikumbatiana na Andrew Cole na Jesper Blomqvist kushangilia bao dhidi ya Bayern Munich

Bryan Robson alikuwa kocha mchezaji wa kikosi cha magwiji wa United na hapa anapambana na Harald Cerny wa Bayern


Ronny Johnsen cakipambana na Alexander Zickler

Shangwe za bao: Giovane Elber akiangukia bango la wadhamini wakati Paulo Sergio alipoungana naye kushangilia la pili la Bayern Munich


 

Denis Irwin akiambaa na mpira baada ya Yorke kumtuliza Markus Schupp



Dwight Yorke akimtoka Hans Pflueger


Sura maarufu: Magwiji wa United na Bayern katika picha ya pamoja kabla ya mechi jana Allianz Arena

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook

Popular Posts

My Blog List

Total Pageviews

Tweets

NETWORKED BLOGS

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
widgets