Monday, August 11, 2014




 
Kutana na ya moyoni mwa Tunda Man, staa wa bongofleva kutokea kundi la Tiptop Connection ambapo amepost picha kadhaa na maelezo yake kwenye mtandao wa instagram.Ya kwanza ni hiyo hapo juu akiwa kasimama mbele ya mabango yanayomuhusu Mbunge wa Monduli Edward Lowassa anaetajwa sana kuhusu Urais wa Tanzania 2015 ambapo kwenye maelezo ya hiyo picha Tunda Man aliandika ‘fotmation yetu ni 4-4-2′






Post nyingine alizoweka Tunda man ni hizi hapa chini akiwa nchini Kenya ikiwa ni siku kadhaa tu baada ya kupona toka apate mshtuko na mwili kukosa nguvu sekunde chache baada ya kupokea simu ya namba asiyoifahamu ambayo sio ya Afrika Mashariki.


0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook

Popular Posts

My Blog List

Total Pageviews

Tweets

NETWORKED BLOGS

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
widgets