Wednesday, March 11, 2015

 
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Contractus ya Poland, Bw. Witold Kartzewski (wapili kulia) na watendaji wa kampuni hiyo, Daniel Junusz (kulia) na Honorata Musloviska Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi9, 2015. Kampuni hiyo pamoja na mambo mengine bingwa katika ujenzi wa vihenge vya kisasa vyenye uwezo wa kuhifadhi tani nyingi za nafaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook

Popular Posts

My Blog List

Total Pageviews

Tweets

NETWORKED BLOGS

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
widgets