Wednesday, May 28, 2014
2:28 PM
| Posted by
Unknown
|
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, limelazimika kuwaita wafanyakazi wa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kushuhudia mwili wa mtu aliyekutwa amekufa kwenye kichaka jirani na ofisi za makao makuu ya jeshi hilo.
Kwa mujibu wa polisi, mwili wa mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Juma Mbega (46) ulikutwa kwenye kichaka ukiwa umeharibika vibaya na kutoa harufu kali huku ukizungukwa na wadudu, nusura polisi wenyewe watoke nduki.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Afisa Habari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro, Afande Suzy alisema wakiwa ofisini, walisikia harufu kali hivyo kulazimika kufanya uchunguzi ndani na nje ya jengo hilo la polisi lenye ghorofa moja ambapo chini zipo ofisi za Jeshi la Polisi Wilaya ya Morogoro Mjini na juu za mkoa. Baada ya kuchunguza harufu hiyo, tulibaini uwepo wa maiti kwenye kichaka kilichopo nje ya ofisi zetu ambapo mwili huo unaokadiriwa kuwepo hapo kwa zaidi ya wiki moja ulikuwa umeharibika vibaya na kutoa harufu kali
alisema afisa huyo.
Kwa upande wake, Nuru Adam ambaye ni mjomba wa marehemu huyo, akizungumza na gazeti hili eneo hilo la tukio alisema: Huyu ni mjomba’ngu, amezaliwa tumbo moja na mama yangu mzazi, Kilegu Hamis.
Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kuanguka hivyo huenda alikutwa na matatizo hayo akiwa eneo hili peke yake.Baada ya uchunguzi wa awali na ndugu wa marehemu kujulikana, maiti ilichukuliwa na kupelekwa mochwari kuhifadhiwa huku taratibu za mazishi kwa ndugu zikiendelea.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Leonard Paul alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.picha na GPL
Subscribe to:
Post Comments
(Atom)
TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO
Find us on Facebook
Popular Posts
My Blog List
-
BENKI YA STANDARD CHARTERED YAHIMIZA AKIBA NA UWEKEZAJI KWA WANAFUNZI - NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Benki ya Standard Chartered Tanzania imetoa elimu ya fedha kwa wanafunzi zaidi ya 120 pamoja na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha...2 hours ago
-
BENKI YA STANDARD CHARTERED YAHIMIZA AKIBA NA UWEKEZAJI KWA WANAFUNZI - NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Benki ya Standard Chartered Tanzania imetoa elimu ya fedha kwa wanafunzi zaidi ya 120 pamoja na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha...2 hours ago
-
Ushindi Upo Nje Nje Siku ya Leo na Meridianbet - WAKALI wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa Wikendi hii ipo kwaajaili ya kuhakikisha hawakuachi patupu. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi za ...20 hours ago
-
Msibani : Marehemu Jenista Mhagama Alikuwa Kiongozi Jasiri, Mwaminifu na Mlezi wa Viongozi Wengi - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza familia, viongozi, wabunge na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwi...1 day ago
-
2025 Toyota Land Cruiser 70-Series Review: Price, Specs, Engine Power, Off-Road Performance & Interior Upgrades - Introduction The 2025 Toyota Land Cruiser 70-Series is back, tougher, smarter, and more capable than ever. This iconic off-road SUV blends legendary Toyo...2 weeks ago
-
UNESCO Yaunga Mkono Juhudi za Serikali Kuboresha Mfumo wa Usimamizi wa Mafunzo Endelevu ya Walimu (MEWAKA) - [image: Picture1] [image: Picture2] [image: Picture3] [image: Picture4] [image: Picture5] Na Mwandishi Wetu, Arusha. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknol...3 months ago
-
สมัคร wing888 VIP เว็บตรงคุณภาพสูง และบริการคุณภาพ - Wing888 vip เป็นหนึ่งในชื่อที่น่าสนใจโดยเฉพาะสำหรับผู้ที่ให้ความสำคัญกับความปลอดภัย เสถียรภาพ และระบบการให้บริการที่จริงจัง ความเป็นส่วนตัวและความซื่อสัตย...6 months ago
-
BENKI YA STANBIC YAFIKIA TAMATI KAMPENI YA TAP KIBINGWA KWA SHANGWE - • TZS milioni 7.5 zimetolewa kama zawadi kwa wateja 15 waliotumia Visa Debit Card zao kwa miezi mitatu • Washindi wengine watano wajishindia TZS 500...7 months ago
-
KIWANJA CHA NDEGE SUMBAWANGA CHAFIKIA ASILIMIA SITINI YA UJENZI. - Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga umefikia asilimia sitini ya utekelezaji wake. Taarifa hiyo imetolewa mbele waandishi wa habari leo Machi 26, 20...8 months ago
-
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com9 months ago
-
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...9 months ago
-
ZANZIBAR: UBALOZI WA NORWAY TANZANIA WAIPONGEZA TAMWA-ZNZ UTEKELEZAJI MRADI WA SWIL. - *Maafisa Ubalozi wa Norway wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa TAMWA-ZNZ mara baada ya kumaliza mazungumzo katika ofisi zilizopo Tu...3 years ago
-
AUDIO | Harmonize - Kushoto Kulia | Download - *DOWNLOAD* Listen to Harmonize - Kushoto Kulia byDJ Mwanga on hearthis.at6 years ago
-
-
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...7 years ago
-
MSANII ROSE MUHANDO: SIOGOPI WANAONISEMA VIBAYA - Rose Muhando. STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha ku...8 years ago
-
VIDEO: SNURA AONGELEA KUFANYA KAZI NA DON JAZZY..! - Kila mtu alilipokea kwa style yake hili suala la mtayarishaji na msanii mkubwa wa muziki barani Afrika *Don Jazzy *kujirecord video akiimba wimbo wa Chura ...8 years ago
-
PIKIPIKI YAZUA HOFU BAADA YA KUTELEKEZWA MWAKA MZIMA JIJINI DAR ES SALAAM, UKIIKARIBIA, IKIIGUSA INAJIWASHA POLISI WAGWAYA KUIPELEKA KITUONI - Mwananchi akipita kwa kuikwepa pikipiki yenye namba za usajili T 684 CJZ aina ya Fokon iliyotelekezwa kwa zaidi ya mwaka mmoja katika Kituo cha waendesha...9 years ago
-
-
MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUPITIA CHADEMA KATIKA JIMBO LA HAI, MKOANI KILIMANJARO - *Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokelewa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai ...10 years ago
-
Bunge Lamkingia Kifua Zitto Kabwe......Lasema Bado ni Mbunge Halali na Spika wa Bunge ana Mamlaka Kisheria Ya Kutengua Maamuzi ya CHADEMA - Ofisi ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema). Kauli ya hiyo ya Bunge im...10 years ago
-
MAPACHA 6 WALIOZALIWA MWAKA 1983 NCHINI UINGEREZA SASA NI WAKUBWA NA WAMENZA KUWA NA FAMILIA ZAO - * Bwana Na Bibi Grahan Walton wakiwa na mabinti wao sita pamoja na mjukuu wao* * Mapacha hao wa kike wakati wana miaka mitano (Kushoto kwenda kilia) Luci...10 years ago
-
New Song WAKAZI-BIGGIE - Download Here - *Wimbo mpya kutoka kwa Wakazi - Biggie* www.aloyson.com10 years ago
-
-
-
-
-
-
-
-
0 comments:
Post a Comment