Sunday, May 18, 2014
8:56 PM
| Posted by
Unknown
|
Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (Mb) katikati akitoa maelekezo kwa
watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga na Mkandarasi
anaejenga mradi wa maji wa kijiji cha Malonje ikiwa ni sehemu ya
utekelezaji wa ahadi za Serikali za kufikisha huduma muhimu kwa
wananchi. Mradi huo wa maji ambao unaelekea kukamilika umefadhiliwa na
benki ya dunia kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa gharama ya
Tsh. Milioni 279. Katika maagizo aliyoyatoa ni pamoja na kupiga marufuku
shughuli zote za kilimo na ufugaji karibu na vyanzo vya maji kulinda
vyanzo hivyo.
Sehemu
ya banio la kukingia maji kwenye chanzo cha maji (chemchem) katika
kijiji cha Malonje ambalo ni sehemu ya mradi huo, baadhi ya wananchi
wameonekana kuendesha shughuli zao za kilimo na ufugaji karibu na chanzo
hicho ambapo wamepigwa marufuku kuendeleza shughuli hizo za uharibifu
wa chanzo hicho cha maji.
Bwana
Danford Anania Kaimu Injinia wa Maji Manispaa ya Sumbawanga wa pili
kulia akitoa maelezo ya tenki la maji lenye ujazo wa lita 45, 000 kwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya. Tenki hilo limejengewa pampu
itakayotumia nguvu ya nishati ya jua kusukuma maji katika vijiji vya
jirani vya Malonje ikiwa ni sehemu ya mradi wa maji wa Kijiji cha
Malonje katika Manispaa ya Sumbawanga.
Banio
la kukinga maji kwenye chanzo (chemchem) ikiwa ni sehemu ya ujenzi wa
mradi wa Maji katika kijiji cha Mlanda Manispaa ya Sumbawanga ambapo
mradi huu utakaotumia zaidi ya Tsh. Milioni 394 unajengwa na mkandarasi
Safari General Traders na unategemewa kuhudumia wanachi wa kijiji cha
Mlanda. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya alitembelea jumla
ya miradi mitano ya Maji katika Manispaa ya Sumbawanga ambayo ni
Malonje, Mlanda, Pito, Chilenganya na Kanondo. Aliwataka wakandarasi
waharakishe kumaliza kazi walizobakisha ili wanancni waweze kupata
huduma hiyo muhimu ya maji. Aidha alikataa kukagua moja ya mradi kwa
vile mkandarasi husika amekua akitoa visingizio mbalimbali vya
kutokumaliza kazi.
Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na wananchi wa kijiji
cha Malonje muda mfupi baada ya kukagua mradi wa maji na Zahanati katika
kijiji hicho, aliwataka wananchi hao kuwaendeleza watoto wao kielimu na
kushirikiana na uongozi wa kijiji katika kuhifadhi mazingira na kulinda
vyanzo vya maji. Kulia ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawannga Ndugu
William Shimwela.
Subscribe to:
Post Comments
(Atom)
TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook
Popular Posts
Widget by Making Different
My Blog List
-
CCM inavyosisitiza kazi na utu ili kuchochea maendeleo - Na: Dk. Reubeni Lumbagala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na mikakati yake ya ndani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba, 2025. Mathalani, kat...1 hour ago
-
Taasisi tatu zaungana katika juhudi za kupambana na uhalifu wa wanyama na misitu Mashariki na Kusini mwa Afrika - Mkurugenzi wa Kikosi Kazi cha Mkataba wa Lusaka (Lusaka Agreement Task Force), Bwana Edward Phiri, akizungumza jijini Dar es Salaam siku ya Jumatano. Pamo...1 hour ago
-
MAAGIZO MATANO YATOLEWA KUONGEZA UFANISI KAMPUNI AMBAZO SERIKALI INA HISA CHACHE - Pwani. Serikali imetoa maagizo matano kwa wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache, ikiwa ni sehemu ya jitihada ya kuboresha u...18 hours ago
-
KIWANJA CHA NDEGE SUMBAWANGA CHAFIKIA ASILIMIA SITINI YA UJENZI. - Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga umefikia asilimia sitini ya utekelezaji wake. Taarifa hiyo imetolewa mbele waandishi wa habari leo Machi 26, 20...19 hours ago
-
Uchumi : Rais Samia akutana na kuzungumza na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwe...21 hours ago
-
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA YAITAKA TANAPA KUENDELEA KUBORESHA MAENEO YA VIVUTIO VYA UTALII ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA WATALII . - Na.Happiness Sam- Arusha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeitaka TANAPA kuendelea kuboresha maeneo ya vivutio vya utalii i...1 day ago
-
Toyota Starlet: History, Specs, and Why This JDM Icon Is Still Loved Today - The Toyota Starlet is a compact hatchback known for its reliability, efficiency, and affordability. First introduced in 1973, it went through multiple ge...2 days ago
-
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com3 weeks ago
-
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...3 weeks ago
-
Dog House Megaways: Slot Gacor dengan Kemenangan Besar - Pendahuluan Dog House Megaways dari Pragmatic Play adalah salah satu game slot online gacor yang populer di kalangan pemain karena fitur Megaways yang me...5 months ago
-
ZANZIBAR: UBALOZI WA NORWAY TANZANIA WAIPONGEZA TAMWA-ZNZ UTEKELEZAJI MRADI WA SWIL. - *Maafisa Ubalozi wa Norway wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa TAMWA-ZNZ mara baada ya kumaliza mazungumzo katika ofisi zilizopo Tu...2 years ago
-
AUDIO | Harmonize - Kushoto Kulia | Download - *DOWNLOAD* Listen to Harmonize - Kushoto Kulia byDJ Mwanga on hearthis.at5 years ago
-
-
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...6 years ago
-
KAMPUNI YA ORYX GAS YAJIVUNIA KUWA RAFIKI WA MAZINGIRA - Na Emmanuel Masaka,Dar. KAMPUNI ya mama katika usambazaji na uuzaji wa gesi ya ORYX nchini ijulikanayo kama ORYX ENERGIES LTD imekuwa mstari wa mbe...6 years ago
-
MSANII ROSE MUHANDO: SIOGOPI WANAONISEMA VIBAYA - Rose Muhando. STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha ku...7 years ago
-
PIKIPIKI YAZUA HOFU BAADA YA KUTELEKEZWA MWAKA MZIMA JIJINI DAR ES SALAAM, UKIIKARIBIA, IKIIGUSA INAJIWASHA POLISI WAGWAYA KUIPELEKA KITUONI - Mwananchi akipita kwa kuikwepa pikipiki yenye namba za usajili T 684 CJZ aina ya Fokon iliyotelekezwa kwa zaidi ya mwaka mmoja katika Kituo cha waendesha...8 years ago
-
-
Bunge Lamkingia Kifua Zitto Kabwe......Lasema Bado ni Mbunge Halali na Spika wa Bunge ana Mamlaka Kisheria Ya Kutengua Maamuzi ya CHADEMA - Ofisi ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema). Kauli ya hiyo ya Bunge im...10 years ago
-
MAPACHA 6 WALIOZALIWA MWAKA 1983 NCHINI UINGEREZA SASA NI WAKUBWA NA WAMENZA KUWA NA FAMILIA ZAO - * Bwana Na Bibi Grahan Walton wakiwa na mabinti wao sita pamoja na mjukuu wao* * Mapacha hao wa kike wakati wana miaka mitano (Kushoto kwenda kilia) Luci...10 years ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Total Pageviews
25728
0 comments:
Post a Comment