Friday, March 13, 2015
9:55 PM
| Posted by
Unknown
|

NA KAROLI VINSENT
JESHI la Polsi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lipo katika hatua ya mwisho katika kukamilisha ushahidi ili kumfikikisha mahakamani Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Dokta Wilbroad Slaa pamoja na makada wa
Akizungumza na waandishi wa Habari mda huu Jijini Dar es Salaam Kamishna wa Polisi Kanda maalum Dar es Salaam Suleimani Kova ametaja sababu ya kumfikisha mahakani katibu huyo wa Chadema na Makada wake inatokana na Vitendo vinavyodaiwa ni vya kinyama alivyofanyiwa mlinzi wake vya kumteka,kumpiga na kumlazimisha kutaja watu wanaomtuma kumuua Katibu mkuu wa Chadema.Hivyo hivyo Jeshi hilo la Polisi limesema kwa sasa linawashikilia makada watatu wa Chama hicho kikuu cha upinzani nchini ambao ni Boniface Jacob miaka 32 mkazi wa ubungo kisiwani ambae pia ni diwani wa kata ya Ubungo kupitia chama hicho.
Sambamba na Hemed Ally Sabula miaka 48 mkazi wa Tandale kwa tumbo ambaye anadaiwa ni Afisa Usalama wa chama hicho Taifa.
Mbali na hao pia Kamishna Kova amemtaja Kada mwengine anayeshikiliwa kuwa ni Benson Mramba,miaka 30,mkazi Tabata Kisukulu ambaye ni Afisa Utawala wa Chadema.
Kamishna kova amebainisha kuwa Ushahidi wao utakapokamilika mafaili yao yatafikishwa kwa Wakili wa Serikali ili hatua zichukuliwe.
Aidha,Akizungumzia sakata la Mlinzi Kagenzi amesema kwa sasa wanamalizia kazi ya kukusanya ushahidi kutoka Chadema ambao wanamtuhumu bwana Kagenzi ambaye anafanya ushirikiano na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM bara Philip Mangula na Afisa Usalama wa Taifa Mkoa wa Kinondoni kwa kuaandaa mpango wa kutaka kumuwekea sumu Dokta Slaa.
Kesi hiyo kwa mala ya kwanza ilifika polisi tarehe 8 mwezi huu majira ya saa 11.jioni katika kituo cha Polisi cha Oysterbay kupitia kwa wakili wa Chadema anayetambulika kwa jina la john Malya akiambana na mtuhumiwa Khalid Kagenzi ambaye ni mkazi wa Tandale kwa tumbo ambapo Wakili huyo aliiambia polisi kwamba alimleta mtuhumiwa baada ya kuagizwa na Dokta Slaa ili kutoa malalamiko kwa niaba yake.
Ambapo Katika maelezo yake anadai Wakili huyo kuwa uongozi wa Chadema ulikuwa ulichukuwa hatua mbalimbali dhidi ya kugenzi ikiwemo kumbana na kujilidhisha kuwa nahusika na mipango ya kimauaji.
Kwa mujibu wa Kamishna kova anasema katika mahojiano wakabaini kunavitendo vya kinyama ambavyo mlinzi huyo wa Dokta Slaa amefanyiwa na Makada wa Chadema baada ya Jeshi hilo kumkuta akiwa na majeraha mbalimbali katika mwili wake
Subscribe to:
Post Comments
(Atom)
TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook
Popular Posts
My Blog List
-
NEMC NA MAZINGIRA PLUS WAFANIKISHA PROGRAMU YA TAKA SIFURI KWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA DAR ES SALAAM - Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo 25 Julai, 2025 kwa kushirikiana na Taasisi ya Mazingira Plus wamekabidhi Mradi wa Taka Sifu...42 minutes ago
-
KAMATI YA KUSIMAMIA MADALALI WA MABARAZA YA ARDHI YAKAGUA KAMPUNI ZA UDALALI DSM - Na Munir Shemweta, WANMM Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia Uteuzi na Nidhamu ya Madalali wa Mabaraza ya Ardhi nchini ambaye ni Naibu Msajili wa Mahakama Ku...11 hours ago
-
Mashujaa : Rais Samia Ashiriki Maadhimisho ya Mashujaa Kitaifa katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma. - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma kw...13 hours ago
-
Startimes Kuonyesha Safari Nzima ya Warembo wa Miss Universe Tanzania - Na Mwandishi Wetu VIPINDI vya mashindano ya Miss Universe Tanzania 2025 vinatarajia kuanza kuonekana kuanzia leo Julai 25 mwaka huu katika king’amuzi cha S...15 hours ago
-
RC Kihongosi Asikiliza na Kutatua Kero za Wamiliki na Wafanyakazi wa Saluni, Jijini Arusha. - [image: WhatsApp%20Image%202025-07-23%20at%2007.58.16] [image: WhatsApp%20Image%202025-07-23%20at%2007.58.14] [image: WhatsApp%20Image%202025-07-23%20at%20...3 days ago
-
Why are Japanese Cars so popular in the Arab World - Japanese cars have firmly established their presence in Arab markets, becoming a symbol of quality and reliability. The continued demand for these vehicl...1 week ago
-
สมัคร wing888 VIP เว็บตรงคุณภาพสูง และบริการคุณภาพ - Wing888 vip เป็นหนึ่งในชื่อที่น่าสนใจโดยเฉพาะสำหรับผู้ที่ให้ความสำคัญกับความปลอดภัย เสถียรภาพ และระบบการให้บริการที่จริงจัง ความเป็นส่วนตัวและความซื่อสัตย...2 months ago
-
BENKI YA STANBIC YAFIKIA TAMATI KAMPENI YA TAP KIBINGWA KWA SHANGWE - • TZS milioni 7.5 zimetolewa kama zawadi kwa wateja 15 waliotumia Visa Debit Card zao kwa miezi mitatu • Washindi wengine watano wajishindia TZS 500...3 months ago
-
KIWANJA CHA NDEGE SUMBAWANGA CHAFIKIA ASILIMIA SITINI YA UJENZI. - Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga umefikia asilimia sitini ya utekelezaji wake. Taarifa hiyo imetolewa mbele waandishi wa habari leo Machi 26, 20...3 months ago
-
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com4 months ago
-
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...4 months ago
-
ZANZIBAR: UBALOZI WA NORWAY TANZANIA WAIPONGEZA TAMWA-ZNZ UTEKELEZAJI MRADI WA SWIL. - *Maafisa Ubalozi wa Norway wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa TAMWA-ZNZ mara baada ya kumaliza mazungumzo katika ofisi zilizopo Tu...3 years ago
-
AUDIO | Harmonize - Kushoto Kulia | Download - *DOWNLOAD* Listen to Harmonize - Kushoto Kulia byDJ Mwanga on hearthis.at5 years ago
-
-
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...6 years ago
-
MSANII ROSE MUHANDO: SIOGOPI WANAONISEMA VIBAYA - Rose Muhando. STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha ku...8 years ago
-
VIDEO: SNURA AONGELEA KUFANYA KAZI NA DON JAZZY..! - Kila mtu alilipokea kwa style yake hili suala la mtayarishaji na msanii mkubwa wa muziki barani Afrika *Don Jazzy *kujirecord video akiimba wimbo wa Chura ...8 years ago
-
PIKIPIKI YAZUA HOFU BAADA YA KUTELEKEZWA MWAKA MZIMA JIJINI DAR ES SALAAM, UKIIKARIBIA, IKIIGUSA INAJIWASHA POLISI WAGWAYA KUIPELEKA KITUONI - Mwananchi akipita kwa kuikwepa pikipiki yenye namba za usajili T 684 CJZ aina ya Fokon iliyotelekezwa kwa zaidi ya mwaka mmoja katika Kituo cha waendesha...8 years ago
-
-
MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUPITIA CHADEMA KATIKA JIMBO LA HAI, MKOANI KILIMANJARO - *Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokelewa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai ...9 years ago
-
Bunge Lamkingia Kifua Zitto Kabwe......Lasema Bado ni Mbunge Halali na Spika wa Bunge ana Mamlaka Kisheria Ya Kutengua Maamuzi ya CHADEMA - Ofisi ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema). Kauli ya hiyo ya Bunge im...10 years ago
-
MAPACHA 6 WALIOZALIWA MWAKA 1983 NCHINI UINGEREZA SASA NI WAKUBWA NA WAMENZA KUWA NA FAMILIA ZAO - * Bwana Na Bibi Grahan Walton wakiwa na mabinti wao sita pamoja na mjukuu wao* * Mapacha hao wa kike wakati wana miaka mitano (Kushoto kwenda kilia) Luci...10 years ago
-
New Song WAKAZI-BIGGIE - Download Here - *Wimbo mpya kutoka kwa Wakazi - Biggie* www.aloyson.com10 years ago
-
-
-
-
-
-
-
-
0 comments:
Post a Comment