Friday, March 13, 2015

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. mashiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiana na maafa utakaofanyika Sendai.


Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kushoto) akizungumza ujumbe kutoka Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women’s Federation for World Peace la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Mchi 13, 2015 ambako amefuatana Mheshimiwa Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Jakaya Kiwete kwenye mkutano kuhusu namna ya kushughulikia maafa unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14, 2015. Kutoka kushoto ni Chieko Sasamoto na Yoko Shima



Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kushoto) akizungumza ujumbe kutoka Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women’s Federation for WOrld Peace la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Mchi 13, 2015 ambako amefuatana Mheshimiwa Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Jakaya Kiwete kwenye mkutano kuhusu namna ya kushughulikia maafa unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14, 2015. Kutoka kushoto ni Chieko Sasamoto, Yoko Shima na Mutsako Setomoto.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiliana na maafa utakaofanyika Sendai.


Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa katika picha ya pamoja ujumbe kutoka Shirika lisilokuwa la kiserikali la Women’s Federation for World Peace la Umoja wa Mataifa (WFWP) kwenye hoteli ya New Otani jijini Tokyo Mchi 13, 2015 ambako amefuatana na Mheshimiwa Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Jakaya Kiwete kwenye mkutano kuhusu namna ya kushughulikia maafa unaotarajiwa kufanyika Sendai Machi 14, 2015. Kutoka kushoto ni Mutsako Setomoto, Chieko Sasamoto, Yoko Shima na Kazunori Arase.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Masahiro Yoshida (kushoto) kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiliana na maafa utakaofanyika Sendai. Watatu kushoto ni mkewe Tunu , Wanne kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Zanzibar, Mohamed Abood Mohamed na Kulia ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje, Dr. Mahadh Maalim.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook

Popular Posts

My Blog List

Total Pageviews

Tweets

NETWORKED BLOGS

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
widgets