Sunday, May 18, 2014


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Japan, Salome Sijaona, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Aneda, nchini Japan kwa ajili ya kuanza ziara ya siku sita. Kulia ni mke wa makamu, Mama Asha Bilal. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Aneda, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku sita. Kushoto kwake ni aliyekuwa Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, (nyuma yao) ni Mke wa Makamu, Mama Asha Bilal na Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona. Picha na OMR

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook

Popular Posts

My Blog List

Total Pageviews

26016

Tweets

NETWORKED BLOGS

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
widgets