Sunday, May 18, 2014
8:31 PM
| Posted by
Unknown
|
Mmoja wa washiriki katika mbio za Vaisakhi rally 2014 akionesha umahiri wa kupita vikwazo katika njia iliyotumika kwa ajili ya mashindano hayo. |
Team Viduku wakitafakari baada ya gari lao la mashindano kupata hitilafu wakati wakiwa katika mzunguko wa pili wa mashindano ya Vaisakhi rally 2014. |
Wananchi wa mjini Moshi, waliojitokeza kushangilia magari katika eneo la Mabogini katika mbio za mwaka huu za magari za Vaisakhi |
Moja ya magari yaliyoshiriki mashindano ya mwaka huu ya Vaisakhi Rally, yaliyofanyika jana mjini Moshi. |
Gari aina ya Mitsubishi linaloendeshwa na Dereva mkongwe, Gerrad Miller likikatiza kona katika eneo la Newland. |
Gurjit Dhani akichana mbuga katika eneo la Newland. |
Gurjit Dhani |
Gari namba 32, linaloendeshwa na Dereva Amarjeet Dhillon wa Arusha akichanja mbuga katika mashindano ya mwaka huu ya Vaisakhi Rally. |
Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Vaisakhi Rally mwaka huu, Gurjit Dhani (kushoto) na Msaidizi wake Shameer Yusuf wakishangilia ubingwa wao. katikati ni Afisa michezo wa mkoa wa Kilimanjaro, Anthony Ishumi. |
Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Vaisakhi Rally mwaka huu, Gurjit Dhani (kushoto) akimpa zawadi ya ushindi Baba yake Mzazi, Mzee Dhani wa Charang Singh, Kulia ni Msaidizi wake Shameer Yusuf. |
Washindi wa nafasi ya tatu hadi ya kwanza katika mashindano ya mwaka huu ya Vaisakhi Rally. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi. |
Subscribe to:
Post Comments
(Atom)
TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook
Popular Posts
Widget by Making Different
My Blog List
-
BARABARA KOROFI YA MABOGINI - KAHE KUJENGWA KWA LAMI- MHE MCHENGERWA - Na John Mapepele -Moshi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amekagua uharibifu wa barabara ya Spencon- Fongagate- Mabogi...8 hours ago
-
BARABARA KOROFI YA MABOGINI - KAHE KUJENGWA KWA LAMI- MHE MCHENGERWA - Na John Mapepele -Moshi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amekagua uharibifu wa barabara ya Spencon- Fongagate- Mabogi...8 hours ago
-
BARABARA KOROFI YA MABOGINI - KAHE KUJENGWA KWA LAMI- MHE MCHENGERWA - Na John Mapepele -Moshi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amekagua uharibifu wa barabara ya Spencon- Fongagate- Mabogi...8 hours ago
-
Habari : THRDC yatoa Jacketi za usalama kwa JOWUTA - .Yamuomba Rais Maridhiano ya Kisiasa Na. Vero Ignatus ,Dar es Saalam. MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania(THRDC) umekabidhi jaketi za usa...1 day ago
-
RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KULETA SERIKALI KWA WANANCHI ILI KULETA MAENDELEO - MHE. MCHENGERWA - Na John Mapepele Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Sulu...1 day ago
-
BEFORWARD Free Car Giveaway (SABASABA EVENT 2025) - Stand a chance to win the prizes! BE FORWARD is running a Giveaway Campaign just for Tanzania!We’re giving away 3 incredible cars to show our appreciatio...4 days ago
-
BENKI YA STANBIC YAFIKIA TAMATI KAMPENI YA TAP KIBINGWA KWA SHANGWE - • TZS milioni 7.5 zimetolewa kama zawadi kwa wateja 15 waliotumia Visa Debit Card zao kwa miezi mitatu • Washindi wengine watano wajishindia TZS 500...1 week ago
-
KIWANJA CHA NDEGE SUMBAWANGA CHAFIKIA ASILIMIA SITINI YA UJENZI. - Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga umefikia asilimia sitini ya utekelezaji wake. Taarifa hiyo imetolewa mbele waandishi wa habari leo Machi 26, 20...5 weeks ago
-
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com1 month ago
-
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...2 months ago
-
Dog House Megaways: Slot Gacor dengan Kemenangan Besar - Pendahuluan Dog House Megaways dari Pragmatic Play adalah salah satu game slot online gacor yang populer di kalangan pemain karena fitur Megaways yang me...6 months ago
-
ZANZIBAR: UBALOZI WA NORWAY TANZANIA WAIPONGEZA TAMWA-ZNZ UTEKELEZAJI MRADI WA SWIL. - *Maafisa Ubalozi wa Norway wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa TAMWA-ZNZ mara baada ya kumaliza mazungumzo katika ofisi zilizopo Tu...2 years ago
-
AUDIO | Harmonize - Kushoto Kulia | Download - *DOWNLOAD* Listen to Harmonize - Kushoto Kulia byDJ Mwanga on hearthis.at5 years ago
-
-
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...6 years ago
-
MSANII ROSE MUHANDO: SIOGOPI WANAONISEMA VIBAYA - Rose Muhando. STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha ku...7 years ago
-
VIDEO: SNURA AONGELEA KUFANYA KAZI NA DON JAZZY..! - Kila mtu alilipokea kwa style yake hili suala la mtayarishaji na msanii mkubwa wa muziki barani Afrika *Don Jazzy *kujirecord video akiimba wimbo wa Chura ...8 years ago
-
PIKIPIKI YAZUA HOFU BAADA YA KUTELEKEZWA MWAKA MZIMA JIJINI DAR ES SALAAM, UKIIKARIBIA, IKIIGUSA INAJIWASHA POLISI WAGWAYA KUIPELEKA KITUONI - Mwananchi akipita kwa kuikwepa pikipiki yenye namba za usajili T 684 CJZ aina ya Fokon iliyotelekezwa kwa zaidi ya mwaka mmoja katika Kituo cha waendesha...8 years ago
-
-
MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUPITIA CHADEMA KATIKA JIMBO LA HAI, MKOANI KILIMANJARO - *Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokelewa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai ...9 years ago
-
Bunge Lamkingia Kifua Zitto Kabwe......Lasema Bado ni Mbunge Halali na Spika wa Bunge ana Mamlaka Kisheria Ya Kutengua Maamuzi ya CHADEMA - Ofisi ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema). Kauli ya hiyo ya Bunge im...10 years ago
-
MAPACHA 6 WALIOZALIWA MWAKA 1983 NCHINI UINGEREZA SASA NI WAKUBWA NA WAMENZA KUWA NA FAMILIA ZAO - * Bwana Na Bibi Grahan Walton wakiwa na mabinti wao sita pamoja na mjukuu wao* * Mapacha hao wa kike wakati wana miaka mitano (Kushoto kwenda kilia) Luci...10 years ago
-
New Song WAKAZI-BIGGIE - Download Here - *Wimbo mpya kutoka kwa Wakazi - Biggie* www.aloyson.com10 years ago
-
-
-
-
-
-
-
-
Total Pageviews
26251
0 comments:
Post a Comment