Wednesday, May 28, 2014


"habari mashabiki zangu,nyumbani kwetu akifa baba au dada au mwanafamilia yyte,basi km kuna aliyetaka kuolewa harusi inaghairishwa,maisha yangu ni filamu,na filamu ni nyumba yangu ya pili,sisi kama NISHA'S FILM PRODUCTION NA STEPS INTERTAINMENT tumeamua kughairisha kuitoa filamu yetu mlokuwa mkiisubiri kwa hamu "ZENA NA BETINA" ilikuwa itoke tar.29/05/2014 sasa basi tutaisogeza mbele hadi tar.12/06/14 kwa ajili ya kuomboleza misiba hii,samahani kwa usumbufu uliojitokeza,munisamehe sana,tumeguswa sana,kwangu mimi kama Nisha kutoa filamu ni furaha,siwezi kufurahi siku tunayomzika msanii mwenzetu kipenzi RACHEL yaani kesho ambayo ndio ilikuwa siku ya kutoka ZENA NA BETINA,nna imani kubwa kama ingekuwa mimi filamu isingetoka kesho na hii ni zawadi yenu Rachel na Adam kuambiana,
kutoka NISHA'S FILM PRODUCTION. ..


naomba mnisamehe sana mashabiki zangu,ila nimetazama UTU KWANZA halafu pesa baadae. wanaoendelea kufanya promo wafanye na naomba mnisaidie kusambaza ujumbe huu. . Nawapenda sana. ZENA NA BETINA itatoka tar.12/06/2014 inshaallah siyo tar.29 tena

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook

Popular Posts

My Blog List

Total Pageviews

26081

Tweets

NETWORKED BLOGS

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
widgets