Friday, March 27, 2015


Karibu watu 19 wamejeruhiwa baada ya kutokea mlipuko uliosababisha majengo mawili kuanguka katika Jiji la New York. Hadi jana mchana majira ya Marekani zaidi ya zimamoto 200 walikuwa wakipambana na moto wa mlipuko huo, ambao uliathiri majengo manne.



Vikosi vya zimamoto vikipambana na moto 



Meya wa Jiji la New York, Bill de Blasio amesema hakuna ripoti ya mtu aliyepotea, hata hivyo amekiri hali ni tete. Maafisa wa Jiji hilo wanaamini kulikuwa na kazi ikiendelea katika majengo hayo yenye mfumo wa gesi kabla ya kulipuka.




0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

TOKOMEZA MAUAJI YA ALBINO

Find us on Facebook

Popular Posts

My Blog List

Total Pageviews

26047

Tweets

NETWORKED BLOGS

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
widgets